Tuesday, December 14, 2010

MTOTO WA MAMA LISHE

Kabla ya kuyajua mapenzi alikuwa mchapakazi sana lakini punde tu baada ya kuyatambua ladha yake mambo yanakuwa tofauti ni katika simulizi ya mtoto wa mama lishe

KATI YA PICHA HIZI IPI INAFAA??????

    



  Ni picha zilizoteuliwa kuwania kuwa kava la kitabu chetu        kinachotoka mwezi wa kwanza,ipi inakuvutia wewe